Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia lugha ya Kifaransa kwenye historia, tamaduni mbalimbali, muziki na Somo la Kifaransa, na itakuhabarisha kuhusu Jumuiya ya kimataifa ya watu wanaotumia Kifaransa kwenye mawasiliano na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha uhusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.